Kazi zetu

Mifano ya kadi tulizobuni. Kila moja ilitengenezwa kwa tukio moja tu, kwa rangi na mtindo wa wenyewe.

Kadi ya mwaliko wa harusi, ivory na dhahabu
Harusi · Ivory & Dhahabu
Kadi ya mwaliko wa send-off, emerald na dhahabu
Send-off · Emerald & Dhahabu
Kadi ya kitchen party, pinki na rose gold
Kitchen party · Pinki & Rose gold
Kadi ya sherehe ya kuzaliwa, navy na dhahabu
Kuzaliwa · Navy & Dhahabu

Majina yaliyo kwenye kadi hizi ni ya mfano tu.

Kisa halisi

Harusi ya Isaack Mwita & Lucy Shayo

Septemba 2026, Dar es Salaam — kadi 312 za kidijitali, mfumo kamili wa kuhakiki mlangoni.

312Kadi binafsi
287Kadi za asante
100%Zilifika
2Lugha

Kila mgeni alipata kadi yenye jina lake, namba yake na QR yake. Mlangoni kulikuwa na ukurasa wa kuscan na orodha ya akiba inayotafutwa kwa namba ya kadi. Baada ya tukio, kila aliyehudhuria alipokea kadi ya asante kwa lugha yake — Kiswahili au Kiingereza.

Tukutengenezee ya kwako

Tuma taarifa za tukio lako leo, upate mfano wa kadi ndani ya saa 24.