Orodha ya bei

Bei ni kwa kila kadi ya mgeni. Hakuna gharama za siri — unajua utalipa kiasi gani kabla hatujaanza.

Basic

Kadi ya Kidijitali

1,600TZS / kadi

Hakuna gharama ya kuandaa mfumo

  • Kadi yenye jina la mgeni
  • Namba ya kadi na aina (Single/Double)
  • QR code ya kipekee kwa kila kadi
  • Kutuma kadi kwa WhatsApp
  • Rejista ya wageni (Excel)
Chagua Basic

Premium

Mwaliko Kamili

2,200TZS / kadi

+ TZS 150,000 kuandaa mfumo

  • Kila kitu kwenye Basic
  • Tovuti ya mwaliko binafsi kwa kila mgeni
  • Ramani, ratiba, countdown na kalenda
  • RSVP na ujumbe kwa wanandoa
  • Ukurasa wa QR wa kuhakiki mlangoni
  • Vikumbusho vya michango
Chagua Premium

Luxury

Uzoefu wa Kifahari

2,800TZS / kadi

+ TZS 300,000 kuandaa mfumo

  • Kila kitu kwenye Premium
  • Kadi za lugha mbili (Kiswahili na Kiingereza)
  • Video fupi ya mwaliko kwa mitandao
  • Timu ya kuhakiki QR mlangoni siku ya tukio
  • Ripoti ya mahudhurio baada ya tukio
Chagua Luxury
Huduma za ziadaBei
Meseji za SMS au WhatsApp (mialiko, vikumbusho, taarifa)TZS 50 kwa meseji
Kadi halisi zilizochapishwaTZS 3,700 kwa kadi
Marekebisho ya kadi baada ya kuidhinishwaTZS 1,600 kwa kadi
Video ya mwaliko pekee (bila package)TZS 80,000
Mfano: wageni 200 kwa Premium ni 200 × 2,200 + 150,000 = TZS 590,000, bila meseji.
Bei zote ni za shilingi ya Tanzania. Malipo: asilimia 50 kuanza kazi, asilimia 50 kabla ya kutuma kadi.

Hesabu bei yako sasa

Hujui package ipi inakufaa?

Tuandikie idadi ya wageni wako na aina ya tukio, tukushauri bila malipo.