Bei ni kwa kila kadi ya mgeni. Hakuna gharama za siri — unajua utalipa kiasi gani kabla hatujaanza.
Kadi ya Kidijitali
Hakuna gharama ya kuandaa mfumo
Mwaliko Kamili
+ TZS 150,000 kuandaa mfumo
Uzoefu wa Kifahari
+ TZS 300,000 kuandaa mfumo
| Huduma za ziada | Bei |
|---|---|
| Meseji za SMS au WhatsApp (mialiko, vikumbusho, taarifa) | TZS 50 kwa meseji |
| Kadi halisi zilizochapishwa | TZS 3,700 kwa kadi |
| Marekebisho ya kadi baada ya kuidhinishwa | TZS 1,600 kwa kadi |
| Video ya mwaliko pekee (bila package) | TZS 80,000 |
Tuandikie idadi ya wageni wako na aina ya tukio, tukushauri bila malipo.